Matunzo ya mtoto

ROCKERS

New Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Pale wazazi wametengana na mtoto bado mdogo ,baba wa mtoto anatakiwa atoe kiasi gani cha pesa kwa ajili ya matumizi ya mwanae kwa mujibu wa sheria
 
ieleweke matunzo ya mtoto ni haki yake ya msingi ikiwemo kula vizuri, kulala vizuri, kuvaa vizuri, na kusoma, na mwenye wajibu wa kutoa huduma hii ni baba ikiwemo na kuhakikisha afya yake iko vizuri kwahiyo inatakiwa ale avae pia alale wewe mwenyewe utaangalia hata sheria hazijaweka wazi kwasababu ghalama huendana na wakati na mazingira
 
cha msingi ni makubaliano kulingana na kipato cha baba,ila inapaswa baba awahudumie watoto wake hadi pale wanapotimiza miaka 7.
 
Pale wazazi wametengana na mtoto bado mdogo ,baba wa mtoto anatakiwa atoe kiasi gani cha pesa kwa ajili ya matumizi ya mwanae kwa mujibu wa sheria

ninavyojuwa sheria haijawek kiasi ila imeamur mtoto mwenye chini ya miak 7 akae kwa mama baada ya hapo mtot atachukuliwa na bab yske na si kwalazim na hat pia yanaaangaliw mtoto anatak kukaaa wapi. nasual la matuzo mahakm inaangali kipato cha mwanaume na hat pia km mwanaume na huwa kinatolewa mahakani ns huyo mwanaume na huyo mwanamke huenda kuchukua
 
cha msingi ni makubaliano kulingana na kipato cha baba,ila inapaswa baba awahudumie watoto wake hadi pale wanapotimiza miaka 7.

Baada ya hapo wanahudumiwa na nani?

Poor Tanganyika my lovely country, ndio maana kumejazana watoto mitaani.
 
Baada ya hapo wanahudumiwa na nani?

Poor Tanganyika my lovely country, ndio maana kumejazana watoto mitaani.

baada ya hapo baba anahaki ya kumchukuwa,mwanae bt hapo si kumhudimia means anatakiwa awe chini ya ulizi wa mam yake na sio kwa bab. means baba atakuwa anapeleka matunzo yote na baad ya kufik miak saba bab nae anahaki ya kumchukua,mtoto,na kuish nae. kwa undani zaidi soma law of marriage Act under section 125 hadi section 130 na pia som,ktk child Act under section 25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…