Mature lady karibu kampani iko hapa

Mature lady karibu kampani iko hapa

sam315

Member
Joined
Sep 22, 2021
Posts
9
Reaction score
29
Hello wa JF

Mimi ni mkaka nina miaka 33, nina elimu ya chuo nimemaliza 2011, nimejiajiri nipo Dar.

Lengo la kuja hapa ni kuweka bayana kuwa nahitaji niwe na mahusiano na mwanamke aliyepevuka (kifupi aliyenizidi umri).

Naamini wapo wanawake ambao wanahitaji mtu wa kuwasikiliza, kuwabembeleza, kuwapetipeti, kuwapa kampani kwenda sehemu tofauti tofauti pamoja na kile chakula chetu cha usikuuu. Usijali mkaka nipo free bado sijafungamana na binti wa mtu.

Sina mambo mengi, kikubwa mm ni mtaratibu na muelewa sana... mengine yatafahamika tukishakutana DM.

Hoping to meet you soon

XOXO
 
Back
Top Bottom