Blackguy
Member
- Dec 13, 2018
- 8
- 5
Salaam, moja kwa moja kwenye point nahitaji mwanamke mwenye umri 30 - 60 kwa ajili ya uhusiano wanawake wenye umri chini ya hapo nyie mko vizuri na mnapendeza ila kwa muktadha wa hitaji langu nyie msijihusishe. Nina umri wa miaka 30, elimu degree. nimeajiriwa na nina miradi yangu kadhaa, mimi ni mrefu (6.2 feet), mweusi, nimeoa na mtoto mmoja ila tatizo langu mke wangu hanitoshi. Yani kila sku kwny tendo anaridhika na kuchoka kabla yangu na kuniacha na maugwadu. Hili jambo limekua likiniumiza kwa mda mrefu sana. Dini na jamii yangu hairuhusu kuoa mke wa pili ila jf is here so problem solved, nahtaji mwanamke mature maana hawa nadhani wanafaa kua secret lover na hawana utoto wanajua wanachotaka. Niweke wazi sina lengo la kuoa maana mke ninae ila huyu lady nitakaempata, mimi na yeye ni kupeana penzi lililotukuka hiyo ndo itakua shughuli yetu that goes without saying.
vigezo:
1. kwakweli mwanamke yeyote atafaa ila kama akiwa na umri tajwa atafaa zaidi.
2. Akiwa mtulivu na msiri itapendeza sana
3. Akiwa single yani kaachika itanoga ile mbaya.
4. Akiwa anajiheshimu na kuwaeshimu wengine itakua vzuri.
kwa alie interested karibu, mapovu ruksa.
nawasilisha.