Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana na nia, dhamira na haja ya moyo wako. Hitaji lako likapate kibali na kutimia sawa sawa na mapenzi ya Mungu.πNaishi Dsm Tanzania
Umri wangu ni 35s
Mwajiriwa sekta binafsi
Mkristo ,pentecoste
Looking for a matured born again christian man who is real tired of being single and he is ready for commited relationship then a holy christian marriage
Must be above 35s but not above 45
Independent,working,financially stable ,responsible
Awe mkweli na dhamiri ya kweli
Awe na hofu ya Mungu ,muungwana na huruma .
Seriously only pm.
Pm kuna nini kwani mbona ghafla sana muheshimiwa ππΓ±joo pm one time lady plz tuone namna ya kumsaidia Victoria π
Relax madam,Pm kuna nini kwani mbona ghafla sana muheshimiwa ππ
Sawa boss wangu...pm ipo wazi karibu sana nipo tayari kukupokeaRelax madam,
ni katika jitihada tu za kuhakikisha anafanikiwa, maana ameongea kwa uchungu sana mpaka nimesita kumfuata pm kwa ushauri na mawaidha zaidi π
Nyie born again si mnasemaga bwana hua anawaonyesha mume/mke. Vipi wewe hujaonyeshwa mpaka unakuja kutafuta humu duniani..? Na je ukimpata mwenye hivyo vigezo utaenda tena kuomba uonyeshwe kama ni yeye au ndio utabeba huyo huyo?Naishi Dsm Tanzania
Umri wangu ni 35s
Mwajiriwa sekta binafsi
Mkristo ,pentecoste
Looking for a matured born again christian man who is real tired of being single and he is ready for commited relationship then a holy christian marriage
Must be above 35s but not above 45
Independent,working,financially stable ,responsible
Awe mkweli na dhamiri ya kweli
Awe na hofu ya Mungu ,muungwana na huruma .
Seriously only pm.
Upate hitaji la moyo wako. Kwani ubao unasoma ngapi ngapi?Naishi Dsm Tanzania