hawa wanajitambua tayari,yanini kujipa headache na binti ambaye bado anataka kwenda fiesta,then mara nying wanaume wa hiyo age wanakuwa tayari anawatoto so kidog it does balance kwani inamsaidia kuwa assured kuhusu malezi ya wanae kwani na hyo mwanamke nae ana watoto/mtoto.kwa ujumla at that age mtu antaka kutulia jamani sio tena maswala ya kupiga simu kwa mama kuwa mume /mke hajarudi wakati ndo kwanza saa nne usiku!
kuna mdada ni rafiki yangu ana mtoto,ni mwalimu,ni graduate,mtaratibu na anaimba kwaya,aliolewa wakaachana na mume wake!nimekaa nae miaka karibu sita namfahamu vizuri na katika miaka yote hiyo huwa najiambia mume wake hakujua ameachana na lulu kiasi gani!unaweza kunipm kwa taarifa zaidi

hizi toto less than 25 ni upuuzi mtupu badala mjenge maisha mnaanzia urafiki-uchumba -uhusiano-ndoa outing nyingi ufujaji wa hela mwingi khaaa ukumpata huyu direct ni mke na maendeleo kama ana akili timamu pia
wewe mwenyewe je?
Subiri nianze ndogo ndogo!Haya mpendwa wangu nime ku PM, niambie zaidi basi kuhusu huyo rafiki