Matusi ili yanoge mpaka usiku hapa Polepole ukileta mada usiku naona CCM wanachanganyikiwa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mzee mmoja idara nyeti anakwambia usiku wanapata shida sana kuhusu Polepole sababu spana za usiku zinanguvu kuliko mchana.

Wengine wanashinda Bar na ofisi na mbwa kutafuta wataokoa vipi uchi wao.
DMZ ndio sheria.

ONGEZO:
kuna msululu wa vifo wambao sitaki kujua ila wananchi msipo shupaza mtaona wengi sana ambao wanatakiwa kuwekwa ili wasio mmoja wa ...........................................................................
 
๐Ÿ˜„๐Ÿšฎ
Kuna kituo cha polisi kipo kwa ajili ya usiku wa mtandao kumrinda bashungwa,IGP,sirro na wengine kinaanza usiku wakisikia pole pole usiku
 
Kuna mzee mmoja idara nyeti anakwambia usiku wanapata shida sana kuhusu Polepole sababu spana za usiku zinanguvu kuliko mchana.

Wengine wanashinda Bar na ofisi na mbwa kutafuta wataokoa vipi uchi wao.
DMZ ndio sheria.
Wengine wanashinda Bar na ofisi na mbwa kutafuta wataokoa vipi uchi wao.
DMZ ndio sheria๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna mzee mmoja idara nyeti anakwambia usiku wanapata shida sana kuhusu Polepole sababu spana za usiku zinanguvu kuliko mchana.

Wengine wanashinda Bar na ofisi na mbwa kutafuta wataokoa vipi uchi wao.
DMZ ndio sheria.
Kuna mzee mmoja idara nyeti anakwambia usiku wanapata shida sana kuhusu Polepole sababu spana za usiku zinanguvu kuliko mchana.๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ