Matusi ya kingereza VS Kiswahili

book11

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
700
Reaction score
390
Habari wanajf,Kati ya matusi ya kingereza na Kiswahili ni yapi yanaumiza pindi unapotukanwa?
Je wewe unapenda kutumia matusi gani kati ya hayo apo juu?,tujuzane tafadhali.
 
Weka hapa orodha zote mbili za matusi ndipo tujadili
 
We unawaza kutukana tuuuuu!!! Ungekumbwa na katukio hata kadogo usingeyawaza hayo!!! Tuungane kuwaombea wenzetu waliopatwa na matatizo acha zako hizo
 
Habari wanajf,Kati ya matusi ya kingereza na Kiswahili ni yapi yanaumiza pindi unapotukanwa?
Je wewe unapenda kutumia matusi gani kati ya hayo apo juu?,tujuzane tafadhali.
sawa tusi ni tusi lkn linakua zito zaidi pale unapotukanwa kiswahili tena nanduguzangu wenye lafudhi ya kisukuma yani tusi linakua bold linakua zito afu linaonekana kubwa unaeza anzisha vita kisa tusi kama ny***o ww
 
Haha, chit chat raha unabembea bila woga...lol
 
Sio bure katumwa huyu
Ila ukitukana moderators wanaweza kutusamehe maana hii ni chit chat
Mkuu.....
Nawewe kweli unataka niingie Choo cha watoto..[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Hamna matusi kwenye kiingereza bali kuna maneno yanayokuwa na ukakasi na ugwadu ukiyasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…