Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
sijaona hiyo picha mwaisaHuyu samaki anaitwa zuzu kwa kiswahili, mnamuitaje kwa kizungu?
Nimeupenda ushauri wako japo waweza kudhihakiwaNi vyema na busara zaidi kuchukua/kutumia muda mwingine kusoma walau posti na ku-like ili kuwapa hamasa wengine....
Naweza ugua kwa kuikosa jf kwa siku tatu.Usiogope mkuu BAN yenyewe kwa makadirio itakuwa ya siku 3 tu [emoji23]
Hujawahi kuipata BAN?Naweza ugua kwa kuikosa jf kwa siku tatu.
Sijawahi pitisha zaidi ya masaa matatu pasipo kichungulia humu ndani
Niliwahi kula life ban mwaka 2010, nilipo gonganisha wadada wawili kwenye makatiko....Hujawahi kuipata BAN?
hahahaah duuh kweli kila mtu na ofisi yake,life ban ni balaa...bado yupo huyo kiranja? haahah aliona meseji inbox nini?Niliwahi kula life ban mwaka 2010, nilipo gonganisha wadada wawili kwenye makatiko....
Na mmoja kati ya hao, alikua ni kiranja wa hapa.....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hapo ndipo alipo nikomesha kwa ban ya milele....[emoji23] [emoji23]
Bado yupo mkuu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaah duuh kweli kila mtu na ofisi yake,life ban ni balaa...bado yupo huyo kiranja? haahah aliona meseji inbox nini?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nyokonyoko kwa kizungu inaitwaje?
Pole aseeNiliwahi kula life ban mwaka 2010, nilipo gonganisha wadada wawili kwenye makatiko....
Na mmoja kati ya hao, alikua ni kiranja wa hapa.....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hapo ndipo alipo nikomesha kwa ban ya milele....[emoji23] [emoji23]
Nimesha kutumia jina lake pm....[emoji5] [emoji5]Pole asee
Ukafungua ii nyingine?
Ile ya life ban inaitwaje?