Matusi ya mashabiki kwa tid kule baada ya kuitosa show ya jide..

Matusi ya mashabiki kwa tid kule baada ya kuitosa show ya jide..

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
MATUSI KWA MNYAMA 3..jpg

hizi hapa sasa comments za wadau..
MATUSI KWA MNYAMA...jpg

MATUSI KWA MNYAMA..2.jpg
 
tid walishirikiana na jide wimbo wa understanding, mwana fa walishirikiana na jide nyimbo nyingi kama alikufa kwa ngoma, ama zangu amazao, nisikilize wa ngwea lakini leo wanamtosa. sasa nimejua kwanini bongo hatuendelei. tid simulaumu sana sababu ni mtu ambaye madawa na bange vishamuharibu akili. mia
 
mambo yote skylight band wengine bado sana.
Jide kiroho safi tu jipange bana
 
jide kaza buti usiangalie nyuma ni mbele
 
Alafu kuna muhaya mmoja alijifanya anawapa ushauri jide na ruge. Baadae picha halisi ikaonekana kuwa anaukabila serukamba sana hawa jamaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom