tid walishirikiana na jide wimbo wa understanding, mwana fa walishirikiana na jide nyimbo nyingi kama alikufa kwa ngoma, ama zangu amazao, nisikilize wa ngwea lakini leo wanamtosa. sasa nimejua kwanini bongo hatuendelei. tid simulaumu sana sababu ni mtu ambaye madawa na bange vishamuharibu akili. mia