Matusi………………..!

Ha ha ha ha haaaaaaaaaaa, nilikujibu kwa Email yako.............. soma email yako
Hivi siku zote ulikuwa wapi? maana kila nikiweka thread hapa sioni changamoto zako, karibu tusaidiane kubadilisha mitazamo ya wenzetu........ taratibu tu wataelewa na kuondokana na akili za kupewa...............LOL
 
Hapo kwa red sijui nimesoma vema au ni haya mawani yangu..........Damn uzee bana!
ni error ya typing babu asprin.nilikuwa namaanisha lazima kuwaheshimu.
 
Yoga nimefanya kidogo. Kwa sasa nafanya ya Path Society!
hapa mahali nimewahi kupasikia...........ni kule TMK Chang'ombe au? tuelekezane mkuu........... si unajua ndio maujanja hayo?
 
Hahahahaha! Afadhali na wewe umeona... Mi nimeshtuka nikataka kuuliza sema nimeogopa laana ya babu!
Sasa wewe umeogopa kuulizia mkongojo au kuiulizia laana inayoletwa na mkongojo!
 
mikongojo na tahajudi za vitendo?
matusi yanahusika aisee????lol
Dah! Kama mkongojo unahusika na matusi basi babu ntajikongoja. Ntakula papa kwa wingi ili niimarishe nguvu za misuli.........Siamini kama Papa naye ni matusi.....
 
Sasa wewe umeogopa kuulizia mkongojo au kuiulizia laana inayoletwa na mkongojo!
Hahaha! Nimeogopa kuulizia mkongojo...hivi kumbe kuna laana inayoletwa na mkongojo eeh?..ntakuja tuition ya hilo somo?
 
Dah! Kama mkongojo unahusika na matusi basi babu ntajikongoja. Ntakula papa kwa wingi ili niimarishe nguvu za misuli.........Siamini kama Papa naye ni matusi.....

umesema papa??akiwa ni papa mdogo anaitwaje????lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…