Maua pambo la dunia

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Ukiachana na nguvu ya urembo na mvuto. Maua yamekuwa pia yakitumika kwa karne nyingi sasa kusaidia katika kutibu maradhi mbalimbali.

Maua mengine yanafahamika kwa uwezo wake wa kuzuia na kupambana na shida kama kichefuchefu, msongo wa mawazo na kitulizo cha maumivu.

Kutokana na upekee wa mimea hii wanasayansi wameendelea mpaka sasa katika kutengeneza dawa mbalimbali za wanyama na mimea.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…