Maua Sama atoa sababu za kuachia 'picha hizi tata'

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

Msanii Maua Sama ameeleza sababu ya kuachia picha ambazo si za kawaida kabisa kutoka kwake,

Picha hizo ambazo zilimuacha wazi sehemu kubwa ya mapaja yake aliziweka mtandaoni kati ya February 19 na 22 mwaka huu.

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma mpya ‘Nakuelewa’ ameiambia FNL ya EATV kuwa aliachia picha hizo kwa ajili ya ujio wake mpya na pia amefanya hivyo kuonyesha uzoefu wake katika muziki.

“Kiukweli ni photo shoot ambayo nilikuwa nahitaji kwa sababu nilikaa kimya sana,” amesema.

“Kuna ule ugeni sasa umeisha, hivyo nilikuwa mgeni nilikuwa sijui vitu vingi, nilikuwa sijui kwenye muziki natakiwa nifanye nini, kidogo kidogo nikaanza kuzoea mwisho wa siku nikawa vile nilivyokuwa nataka,” amesema.

Licha ya kuwa muimbaji mzuri katika nyimbo zake Maua Sama amekuwa miongoni mwa ma-chorus killer wazuri kwa hapa Bongo, mwishoni wa mwaka jana alisikika katika chorus ya ngoma ya Mwana FA ‘Sielewi’ na ile ya Roma na Stamina (Rostam) itwayo Kiba_100.

Chanzo: Muungwana
 
Sisikiii...

Hehee kumbe nawe unayafahamu mambo ya burudani na Bongo fleva. ...... si kwa dhihaka ni taharuki kwa vile nimekuwa nikikuona.

Nimejikuta nasikia sauti ya huo wimbo...... sisikiii.....
 
Hehee kumbe nawe unayafahamu mambo ya burudani na Bongo fleva. ...... si kwa dhihaka ni taharuki kwa vile nimekuwa nikikuona.

Nimejikuta nasikia sauti ya huo wimbo...... sisikiii.....
Huu wimbo we acha tu.Mtoto loyal kama askari wa Uswizi wa Papa.

Mimi nikiusikia nasikia kama ananiimbia mimi vile. Mtu hata simjui hanijui.

Na huo ndio upeo wa sanaa ya nyimbo za mapenzi.

Huu wimbo we acha tu.

Mimi nikiusikia nasikia kama ananiimbia mimi vile. Mtu hata simjui hanijui.

Na huo ndio upeo wa sanaa ya nyimbo za mapenzi.

Sio kakuimbia mungu?
 
Kitoto kitamu unatafuna mpk mifupa yote
 
Huu wimbo we acha tu.Mtoto loyal kama askari wa Uswizi wa Papa.

Mimi nikiusikia nasikia kama ananiimbia mimi vile. Mtu hata simjui hanijui.

Na huo ndio upeo wa sanaa ya nyimbo za mapenzi.

Nimetokea kupenda remix aliyoimba pamoja na Alicous, ni nzuri sana.
 
Huu wimbo we acha tu.Mtoto loyal kama askari wa Uswizi wa Papa.

Mimi nikiusikia nasikia kama ananiimbia mimi vile. Mtu hata simjui hanijui.

Na huo ndio upeo wa sanaa ya nyimbo za mapenzi.

Yaani asante kwa kuweka huu wimbo hapa.... umenifanya nione kama vile unaniimbia mie huo wimbo wakati sikufahamu wala hunifahamu.

Huu wimbo ni mzuri kwakweli..... hongera nyingi kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…