Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Waungwana wote na waone mtu anayetaka kuchafua hali ya hewa hapa.
Mkuu upoSisikiii...
Kama ya Sepenga akiwa hajapaka make-upIla ana sura chachu
Ulishamuona LIVE huyo kiumbe?Anafata nyayo za Vanessa kuvaa uchi
Hapana aiseeeUlishamuona LIVE huyo kiumbe?
Ni kituko, shida ndio zimembakiza Juks mpaka Leo paleHapana aiseee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kituko, shida ndio zimembakiza Juks mpaka Leo pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata sio mzur ukikutana naye asubuh hjavaa makeup na wig unaweza sema umekutana na mpoki.
π³ π³ π³ π π πHata sio mzur ukikutana naye asubuh hjavaa makeup na wig unaweza sema umekutana na mpoki.
Breki Kende???si tena Breki Poumbou?. hebu tuweni wakweli huyu bado mtoto kabisa... Huwezi kumuita huyu ni mwanamke ila kwa kutaka ukubwa badala aache embe likomae lidondoke lenyewe likiwa limeiva yeye atalichuma changa kisha alivumbike.... Na ndio chanzo ukubwani kuitwa breki kendeView attachment 726253
Kwa hiyo ameanza ku - "coupe" na mazingira...ππSababu kaanza urafk na vanessa