maua sama ni zaidi ya recho,rinah,mwasiti,lady jay dee

maua sama ni zaidi ya recho,rinah,mwasiti,lady jay dee

Lady jaydee mtoe kwenye hyo category aiseeh,hakuna ata mmoja apo anayemfikia sio kwa kuimba umaarufu au hata mafanikio,yaani unamfanisha jide na ivo vitoto vya juzi? Show some respect to her,idiot
 
Ujamtendea haki jide.
Umefanya dhambi ambayo tasnia ya muziki haito kusamehe.
 
Kumfananisha kwa kuimba ni sawa kabisa.......dada jide anaimba kawaida sema tu huwa tunaheshimu ukongwe wake....maua sama ni mtoto kwa jide katika utunzi....halafu music anayoifanya ni too contemporary yaani ashukuru MUNGU ana sauti nzuri na promo inamsaidia.....Linah yuko too obvious yaani utajua tu huyu linah(kama jide)which is kinda boring....ila tofauti yao jide kakomaa kimuziki na amejifunza vitu vingi(mjanjamjanja)....hao wengine nitarudi siku nyingine.....
 
Hakuna kama jide wewe,yule dada mwacheni kama alivyo,kashashindikanaga toka zamani
 
Unapanga baiskeli, guta pikipiki, Corolla, pickup , vx hammer, nk halafu unasema vinafanana ...!pyuu kisa tu vyote vina madereva
 
Elewa kaka huu uzi unalenga kipaji cha mtu kuhusu suala la jide kabebwa na media pili nimkongwe namfananisha na diamond kipaji hana ila nimeona umeenita idiot mtoto hauna heshimu unachamba wima.
 
Hamuwezi kunibadilisha mawazo me naangalia kipaji cha muhusika kama unabisha basi busu kalio lako tuone labda nikutakie chrismass njema
 
man hatuangali muda ktk game wala mafanikio kipaji ndio topic mfano check diamond n barnaba
 
angala umenena kidogo ila kwa suala la promo nakupinga coz ngoma yenyewe n promo tayari afu ile style ya kuimba kupanda na kushuka anafanya mziki wa hakiri sana tofauti na jide anabebwa na mapenzi pamoja n madada zetu.
 
lady gaga kawateka hakiri...ila music yake kawaida ray c asinge kula mti wa wazee angekuwa mbali zaidi ya huyu jide.
 
Ushasema ange but ndo ivo kashapigwa bao la nguvu,chezea anaconda nini,wanume wenyewe na midevu yao wanasanda na jide
 
hivi vi under 18 vinasumbua sana na topic zao
 
Back
Top Bottom