NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Huna jpya saivi subiri furaha yenu kutoka kwa Polisi TanzaniaView attachment 2626664
Hii mechi hakuwepo kwan
Samahani lkn[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Saivi mashabiki wa simba kila thread wanavizia kuprovoke japo waonekane wapo....tuwahurumie na tuishi nao kwa upendo maana ni wagonjwa.Unalazimisha furaha
Mnaanzia hapa kwa Mkapa, mtamalizia Algeria.Tutaanzia kwao,
Sawa hakuna shida yupo sure boy atapiga mpira mwingi.Aucho Alikuwa kwenye form nzuri mno.
NASIKITIKA ATAUKOSA MCHEZO WA FAINALI.
Ile ni mashine japo kuwa haimbwi sana lakini ni doctor haswaaa.Ninampendea jamaa pass tu.....
Yule jamaa anapiga pass Jamni.....
Mwamba anapiga pass htr....
Mtoto mzuri [emoji8]Mnaanzia hapa kwa Mkapa, mtamalizia Algeria.
Mzamiru nae mchezaji wa kumfananisha Aucho?!Akikutana na mzamiru anakaa pembeni yule alifaa awe mlinzi ule mwili sio wa mpira.
Ni wa kuwapuuza tu hao hawana la maana aiseeSaivi mashabiki wa simba kila thread wanavizia kuprovoke japo waonekane wapo....tuwahurumie na tuishi nao kwa upendo maana ni wagonjwa.
Pia washaurini wakapimwe makasiriko kwenye vituo vya afya vilivyoenea nchi nzima.