ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Any bad history?Nikiona damu nyingi napata trauma
Does killing once make someone want to kill again?Once you kill, you will do it again
.......Any bad history?
You have such a pure and innocent heart ndo maana huwa na....(siri)
Unaweza kuua mtu ili kuokoa mtu mwingineIn short kuna watu they're heartless, mimi mpk nifikie hatua ya kumuuwa mtu, labda atake kudhuru mtu wangu wa karibu... Hapo lazima niwe beast... Ila hivi hivi tuu sina huo upepo.. Eti mali, sijui kafara, sijui wadhifa siwezi kabisa
So ukishaua unapata uraibu?rejea amri kumi za Mungu, amri ya 5 "USIUE"
Wewe huwezi?.......
Unaweza kuua mtu ili kuokoa mtu mwingine
Sina uhakika kwakweliWewe huwezi?
Utaacha mtu wako wa karibu auwawe na wewe upo?
Mauaji husababishwa na mchanganyiko wa sababu za kisaikolojia, kijamii, mazingira, na kibaolojia ambazo humfanya mtu aone kuwa kutoa uhai wa mwingine ndiyo njia pekee au ya mwisho ya kutatua tatizo au kukidhi haja yake.Mauaji, nini humfanya mtu aamue kumuua mtu mwingine?
Hivi karibuni tumeona visa vya mauaji vikiongezeka, hasa vile vinavyohusishwa na siasa hapa Tanzania.
Kuna maswali mengi yananijia kichwani
Je, haya mauaji hufanywa na mtu mmoja au huwa ni kundi la watu?
Ni nini hutokea kwenye akili ya mtu mpaka afikie hatua ya kumuua binadamu mwenzake?
Mimi binafsi damu inanitisha
Nikiona damu nyingi napata trauma kabisa
Sasa hawa wanaoua, tena kwa ukatili, huwa hawahisi chochote?
Anapomkata mtu, kumpiga risasi au kumchoma moto, halafu yule mtu anaomba msaada au huruma, kweli moyo hauwaumi?
Baada ya tukio, huwa hawapati mawazo, ndoto mbaya au kujilaumu?
Kuna msemo unasema, Ukianza kula nyama ya mtu huachi
Huo msemo una maana gani?
Kwa nini kuna watu wanaonekana kuua mara kwa mara bila kuacha?
Na ukimuua mtu halafu ukaiona familia yake, watoto wake au wazazi wake wanalia kwa uchungu, hilo halikugusi kabisa mpaka ukaweza kuendelea kufanya mauaji mengine?
Ukiachana na kesi ambazo mtu anahukumiwa na mahakama kwa mujibu wa sheria (na si kwa kusingiziwa), hawa wanaoua kiholela huwa hawana utu?
Hawana huruma? Hawana dhamiri? Au kuna kitu kinabadilika kwenye akili yao mpaka wanaona kuua ni jambo la kawaida?
Kila mtu atakufa siku moja(Haki hii)
Sasa kwa nini umpe mtu maumivu ya kukatwa, kupigwa risasi au kuchomwa moto wakati angekufa kwa wakati wake?
Kwa mtazamo wenu, nini hasa kinamsukuma mtu kuwa muuaji? Ni malezi, mazingira, siasa, pesa, chuki, magonjwa ya akili au kuna kitu kingine?
Karibuni kwa hoja
ShesRise_1 🤚
Unataka kujua?Sina uhakika kwakweli
Visasi
Mapenzi
Wizi
Dhuluma
Tofauti za kiitikadi
TAMAA YA MADARAKA
Jibu hili hapa "Ni malezi, mazingira, siasa, pesa, chuki, magonjwa ya akili"...Mauaji, nini humfanya mtu aamue kumuua mtu mwingine?
Hivi karibuni tumeona visa vya mauaji vikiongezeka, hasa vile vinavyohusishwa na siasa hapa Tanzania.
Kuna maswali mengi yananijia kichwani
Je, haya mauaji hufanywa na mtu mmoja au huwa ni kundi la watu?
Ni nini hutokea kwenye akili ya mtu mpaka afikie hatua ya kumuua binadamu mwenzake?
Mimi binafsi damu inanitisha
Nikiona damu nyingi napata trauma kabisa
Sasa hawa wanaoua, tena kwa ukatili, huwa hawahisi chochote?
Anapomkata mtu, kumpiga risasi au kumchoma moto, halafu yule mtu anaomba msaada au huruma, kweli moyo hauwaumi?
Baada ya tukio, huwa hawapati mawazo, ndoto mbaya au kujilaumu?
Kuna msemo unasema, Ukianza kula nyama ya mtu huachi
Huo msemo una maana gani?
Kwa nini kuna watu wanaonekana kuua mara kwa mara bila kuacha?
Na ukimuua mtu halafu ukaiona familia yake, watoto wake au wazazi wake wanalia kwa uchungu, hilo halikugusi kabisa mpaka ukaweza kuendelea kufanya mauaji mengine?
Ukiachana na kesi ambazo mtu anahukumiwa na mahakama kwa mujibu wa sheria (na si kwa kusingiziwa), hawa wanaoua kiholela huwa hawana utu?
Hawana huruma? Hawana dhamiri? Au kuna kitu kinabadilika kwenye akili yao mpaka wanaona kuua ni jambo la kawaida?
Kila mtu atakufa siku moja(Haki hii)
Sasa kwa nini umpe mtu maumivu ya kukatwa, kupigwa risasi au kuchomwa moto wakati angekufa kwa wakati wake?
Kwa mtazamo wenu, nini hasa kinamsukuma mtu kuwa muuaji? Ni malezi, mazingira, siasa, pesa, chuki, magonjwa ya akili au kuna kitu kingine?
Karibuni kwa hoja
ShesRise_1 🤚
I once heard this statement.. It seems to be so realOnce you kill, you will do it again