ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #61
Shukrani 🤝Huo ni uamzi wangu, siyo wako, "kuacha kufuatilia hii mada".
Kama hutaki niifuatilie, fanya uchawi nisiione humu jukwaani.
Sijakuandama, ninakueleza ukweli. kwamba mada yako ni mbovu.
Sawa mkuu👍huyo Samia aliyasema haya maneno mwenyewe.
Sasa na wewe unayarudia humu humu!
Sasa naanza kuona tabia zilezile alizonazo Samia, zile za ulaghai mwingi ndani yako.
Kuku unaweza kuchinja?Sio uoga roho safii
Panya na kuku yupi mkubwa 🤣Kuku unaweza kuchinja?
Sasa kama wako wengi kwaninj aje kunigongea wa kwangu?Usiue bhna wanawake wapo wengine mbona
Ila wenzio wakichinja unakula?Panya na kuku yupi mkubwa 🤣
Naweza kumuua mbuu tu tena kwa kofi laini
Dah hata sijui niseme nini we achana nao move onSasa kama wako wengi kwaninj aje kunigongea wa kwangu?
hilo kwakweli namuachia Maulana,Hapa point yako ni ipi ?
Kuua unaona ni kawaida ?
Eeh nakulaIla wenzio wakichinja unakula?
Sawa sawa 🐒hilo kwakweli namuachia Maulana,
ambae ndie pekee ana mamlaka ya namna ya kila moja wetu kwa wakati wake muafaka na bila kuchelewa hata sekunde moja atakavyo R.I.P
imani yangu thabiti inanizuia kubabaika na jambo hilo ambalo halizoeleki wala kukwepeka kwa wanadamu na viumbe vyote alivyoviumba, bali kujiandaa kiroho na kimwili katika safari hiyo muhimu kuelekea kwenye makao yake ya milele aliyotuandali
Watu wana roho ngumu sanaMauwaji mengi ni visasi. Ukiacha haya yenye sura za kisiasa, mengine ni visasi. Kuna watu wanaua hata kwa malipo ya shs 500000.
Kesi za ardhi, wake za watu, mali za urithi, na dhuluma zinapelekea watu kufanya mauwaji.
karibu tena ikikupendeza na kama hutojaliSawa sawa 🐒
Asante sanakaribu tena ikikupendeza na kama hutojali
huyo ni mwalimu wa kiswahili darasa la 6,Kalamu hivi hizo hasira juu yangu ni kwasababu nimeshindwa kupangilia mada vizuri tu?
Au kuna jingine una rohoni dhidi yangu?
Namna uli vyo panic inashangaza 🙌
Mbona sasa kawa mkali sanahuyo ni mwalimu wa kiswahili darasa la 6,
lazima akurekebishe pale anapo ona hapaja kaa sawa kifasihi
Tazama hapo chini ya bandiko lako hili anayechekelea na kushangilia; mzoga mmoja uliowahi kuitwa Tlaatlaah!Kalamu hivi hizo hasira juu yangu ni kwasababu nimeshindwa kupangilia mada vizuri tu?
Au kuna jingine unalo rohoni dhidi yangu?
Namna uli vyo panic inashangaza 🙌
itakubidi umzoee tu,Mbona sasa kawa mkali sana
Hawezi kufundisha kwa ulaini laini bila kufoka😂
Lol 😆 ebu aniache mie
Mara nina tabia kama za Samuya heh