Mauaji: Nini kinamfanya mtu aamue kuua?

Dini.
 
Kwa sisi watu wa imani
Tunaamini maombi yana nguvu.
Ila maombi hayaendi peke yake ndio maana kuna msemo wa Kazi na Sala.
Usije ukashinda magetoni asubuhi hadi jion halafu unamuomba Mungu akupe chakula, hilo halitawezekana.
Haya sawa tuendelee kuomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…