inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kennedy alipigwa risasi nyingi toka pande tofauti,Oswald kabebeshwa tu jumba bovu ndiyo maana wakamuua akosekane wa kumhoji,yeye alikua na kawaida ya kwenda kugonga Pepsi Hilo jengo,kilichomuua Kennedy ni kutaka kuibadili CIA,hakuipenda, CIA wakamwambia mdogo wake bro wako tunamuua, CIA haiwezi badilishwa,na Vita Vietnam Wana walikua wanagonga &8m per day yeye anataka iishe
Hii inamake sense, baada ya WW2 ambayo JF alihudumu kama Navy , wajeda wengi waliingia kwenye siasa , na kulikuwa na makundi yaliyokuwa yanavutana humo .... Walimuua tuuKennedy alipigwa risasi nyingi toka pande tofauti,Oswald kabebeshwa tu jumba bovu ndiyo maana wakamuua akosekane wa kumhoji,yeye alikua na kawaida ya kwenda kugonga Pepsi Hilo jengo,kilichomuua Kennedy ni kutaka kuibadili CIA,hakuipenda, CIA wakamwambia mdogo wake bro wako tunamuua, CIA haiwezi badilishwa,na Vita Vietnam Wana walikua wanagonga &8m per day yeye anataka iishe
Military industrial complex na bankers hata mimi naamini ndio walihusika , maana ndio hao hao hizo families kubwa za kitajiri Marekani ,walikuwa na interests kwenye viwanda vya silaha ,mabenki na biashara nyingine kubwa zilizokuwa zinafaidika kipindi kile cha vita maana contracts za serikali zilikuwa nyingi balaa na faida pia .Hii nayo ni nyingine!
Ile ni cover up ya CIA , na FBI Chini ya Edgar Hoover pamoja na uhasama wao na CIA wanajua nani alihusika yale mauaji ila wakaamua kutoblow cover , CIA wakitumiwa na bankers ,hizo familia zinazomiliki serikali ya Marekani financiers na ambao ni waanzilishi wa mabenki makubwa karibia yote hapo Marekani , akina Rothchild ,Rockefeller , warbug nk ,sasa Jfk alikuwa na battle nao hasa kwenye suala la kutaka kuivunja federal reseve bank ,ambayo kiulhalisia ile bank si ya serikali ni umafia na ujanja ulifanyika kuanzisha na kuondoa gold standard iliyokuwepo kipindi cha nyuma , Kennedy alitaka kuirudisha Marekani kwenye gold standard na kuifutilia mbali Federal reserve bank , kilichofata ni history so ilikuwa ni lazima afe ,
Vita ya Afghanistan wahuni wamepiga trilions of dollars,bado Iraq...wamepiga Sana hela mbuzi waleKennedy alikataa kabisa mpango wa CIA WA kuivamia Cuba...alipogundua CIA kumbe Wana pika taarifa za uongo kulipa serikali....akakataa kabisa mpango ulioitwa..."Operation Northwood"...ambao ilikuwa CIA waandae shambulio Marekani la kuua wanajeshi na Raia ...ili ionekane Cuba ndo wameshambulia halafu waingie vitani....
Kilicho mkasirisha Kennedy ni mpango wa CIA kuua Hadi Raia WA Marekani mradi kuingiza nchi vitani huku wenye Makampuni ya silaha wakijiaanda kupiga faida kubwa...
Kennedy akakataa huo mpango na kuwapa kuifumua upya kabisa CIA...
Haikuchukua mda wakamuaa...