Mauaji ya kimbari yanaendelea huko old traffold

Uwanja unaanza kuwa mtupu dakika ya 65 🤣🤣

Kama Ole anajiheshimu atangaze kujiuzulu kwenye post match interview
 
Hawa liver ni wajinga,mtu kaishaelekea kibla,badala ya kupiga nyingi,hawa kenge ilibidi wafe hata 10
 
Sipati picha wewe huyo huyo ni manchestar halafu wewe huyohuyo ni Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…