MUME WANGU
Member
- Mar 25, 2009
- 24
- 0
its amazing, if the government and concerned person did not take any measure to alleviate the problem.
Thank you
my opinion
Hii ni sehemu ya upigaji niondo au ni kitun kingine kipya. Mbeya kunani jamani? Mbona watu wake wanaonekana wapole sana!
Yani inasikitisha sana. Lakini hivi ni kwa nini mambo ya imani za kichawi yapo zaidi Mbeya na Kanda ya ziwa?
MN,
Kwi kwi kwiii!!! Wapole ndio wanaweza kuwa wabaya mno. I hope hii habari sio kweli, vinginevyo ujinga utatumaliza
Hii ni sehemu ya upigaji niondo au ni kitun kingine kipya. Mbeya kunani jamani? Mbona watu wake wanaonekana wapole sana!
Kuna habari kwanba mkoani Mbeya hivi sasa kuna mauaji yakutisha, mauaji hayo yanasadikika kuwa ni ya imani zakishirikina, wafanya biashara wa mabucha ya nyama ndiyo washirika wakuu, inasemekana kuwa nyakati za usiku huwavizia watu nakuwaua na vifaa wanavyo tumia mabuchani na baada ya hapo huvipeleka vifaa hivyo kwa waganga wa wakieji ili mauzo yao yaongezeke, vifaa wanavyotumia kuulia watu mara nyingi ni zile hook zenye sharp end zakutundikia nyama mabuchani...mwenye taarifa zaidi atujuze