Mauaji ya mwanafunzi arusha yahusishwa na siasa.

R-CHUGA

Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
77
Reaction score
8
Ni mkuu wa mkoa wa ARUSHA amesema kwamba mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha uhasibu yalipangwa na baadhi ya wanasiasa ili kujitaftia umaarufu katika chuo hicho.Akizungumza na waandishi wa habari amesema kwamba kutokana na baadhi ya wananchi waliohojiwa wamesema kwamba mauaji hayo yalipangwa.
 
Duh,nadhani anatakiwa arudi akaendelee na kazi yake ya kumuogesha baba fastjet!!!!
 
Ila huyu kuna jambo analijua!Aulizwe vizuri na kwa nafasi yake anayo fursa ya kuwataja wanasiasa hao!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Masikini nchi yangu.
Yani anauwawa mtu mkuu wa mkoa anasema ni siasa?
Polisi wamechunguza saa ngapi? Wanetoa majibu gani?

Huu upuuzi utakwisha tu.
 
siwezi shangaa, hawa watakua chadema, tu, hakuna wenye uwezo wa kufanya mambo kama hayo zaidi ya chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…