Mauaji ya Polisi wetu ni Ujambazi, Ugaidi au Retaliation? Nini kifanyike kukomesha hali hii?

jiulize kwanini afanye tukio apo na si sehemu zingine ,unaweza kuwa alikuwa anawafahamu hao askari
 
Hili la kutaka kumkamata akiwa hai kuna aliejaribu lakini ikashindikana baada ya kula ya paja
 
Askari wetu bado walikuwa vijana tuu mungu awalaze pahali pema
 
This showdown sounds like retaliation and may spark off similar events if not dealt with appropriately.

God forbid.
 
Wewe ndo uko shallow,unachanganya bandiko la 2017 na la jana
 
Muheshimiwa nakubaliana na wewe kabisa, ila sio kwa Polisi crush program miezi tisa pale Moshi. Kama watapewa mafunzo ya maana na wakawa na uwezo mzuri wa kufanya maamuzi hapo sawa.
Mafunzo yetu ni kidogo sana kuweza kuwapa uwezo wa kuamua nani afe nani aishi.
 
Ushauri wa bure kwako, ukifungua bandiko lolote, kitu cha kwanza kusoma baada ya kichwa cha habari, ni tarehe ya bandiko!. Usiparamie paramie tuu kujibu!.

Na baada ya kukuta ni bandiko la zamani, unakwenda kwenye the last post to establish kwanini kaburi hilo limefufuliwa.

Pole.
P
 
Comment bola Sana kwangu bg up
 

This time umeleta andiko zuri sana...

Nimefurahi zaidi ulivyotumia mawazo na mchango wa wengine kujengea hoja yako...

I really like this...

Na ku - acknowledge mawazo na michango ya watu wengine ni uungwana wa hali ya juu sana....

Ushauri ni kwa wenye mamlaka ya kimaamuzi [serikali] kuchukua ushauri huu na kuufanyia kazi with immediate effect...

HOJA KUU HAPA ni;

Jamani TUTENDEANE HAKI na tuheshimu utu wa kila mtu na watawala watambue kuwa cheo ni dhamana tu ya muda mfupi...!!
 
Retaliation, kutokana na uonevu wa polisi, wewe Paskali unalijua kabisa, ndiyo maana aliwaacha mamia ya watu bila ya kuwadhuru, na akasikika akisema anawatafuta polisi (wala siyo JWTZ), yeye ni polisi tu. Polisi mmezidi kuonewa, na watu wana hasira na uonevu wenu, hasa huyo SIRRO (Zero) ambaye hadi sasa yupo tu hataki kujiuzulu. Sirro jiuzulu kwa sababu hufai.
 
Kwa kweli hili lilikuwa ni tukio baya, ila niliuliza hapa, na jeshi la polisi lilijibu mapigo with full force na kuproduce bad karma nyingine!.
P
 
Wanabodi,

Taifa bado liko kwenye shock ya nini haswa kilichotokea kwa askari wetu?

Mauaji haya ya Polisi Wetu ni Ujambazi tuu, ni Ugaidi au Retaliation?.
Kuna siku wataingia kwenye 18 za wananchi.
Polisi hawafai kabisa kuvaa crown zenye nembo ya Tanzania
Mkuu Msanii ,swali kama hili,niliwahi kuuliza humu。
P
 
Back in days.
When magu was on fire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…