UKARIMU
Member
- Aug 6, 2020
- 9
- 8
Kuna sehemu nilisoma kwamba yuko mtu alitozwa faini ya Tsh milioni 5 kwa kuweka maudhui mtandaoni bila leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA).
Tunaandika, tunaweka picha, sauti nk. katika Facebook, tweeter, YouTube nk.
Naomba kuelimishwa: Kipi ni maudhui na kuweka maudhui mtandaoni; na kipi si maudhui wala kuweka maudhui mtandaoni?