Kwa mantiki hiyo, matumizi yetu ya mitandao ya kijamii bila leseni ya TCRA ni kosa kisheria?Chochote unachopost ni maudhui ..iwe mada maandishi, mada picha au mada sauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yanayolipiwa ni yapiChochote unachopost ni maudhui ..iwe mada maandishi, mada picha au mada sauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah kama unamiliki chombo cha kupokea hayo maudhuiKwa mantiki hiyo, matumizi yetu ya mitandao ya kijamii bila leseni ya TCRA ni kosa kisheria?
Unalipia leseni TCRA na unaeleza muktadha wa maudhui yako.. Hatuko mbali sana soon hata ma group ya WhatsApp yatatakiwa kuwa na leseniNa yanayolipiwa ni yapi
Kwaiyo hata mimi ninayetumia Jf na kuweka picha nahtaji leseni?Unalipia leseni TCRA na unaeleza muktadha wa maudhui yako.. Hatuko mbali sana soon hata ma group ya WhatsApp yatatakiwa kuwa na leseni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana wewe ni mtumiaji si mmiliki...wamiliki ndio wanalipiaKwaiyo hata mimi ninayetumia Jf na kuweka picha nahtaji leseni?
Ulichoandika hapo juu Ni MAUDHUI na kinaweza kusababisha wewe kwenda Segerea au kulipa milioni tano.Kuna sehemu nilisoma kwamba yuko mtu alitozwa faini ya Tsh milioni 5 kwa kuweka maudhui mtandaoni bila leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA).
Tunaandika, tunaweka picha, sauti nk. katika Facebook, tweeter, YouTube nk.
Naomba kuelimishwa: Kipi ni maudhui na kuweka maudhui mtandaoni; na kipi si maudhui wala kuweka maudhui mtandaoni?
Kwasasa hapana lakini huko tuendako tutadaiwa leseniBro. Mshana Jr. nipe mwangaza, mfano: nina page ya Facebook nk. ninaandika somo la lugha, afya,nk. kwa kuelimisha jamii nk. Hapo, Bro., nahitaji leseni?