Maudhui ya kiasiasa kwenye Filamu ya Royal Tour: Je, inahusika vipi kutangaza Utalii?

Maudhui ya kiasiasa kwenye Filamu ya Royal Tour: Je, inahusika vipi kutangaza Utalii?

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Eid Mubarak..

Kwa Maoni yangu hii haijakaa sawa..

Kwa nini kuweka maudhui ya kisiasa kwenye Filamu ya kutangaza utalii?

Je! Watu wa Serikali wameruhusu mambo hayo yatoke?
 
Utalii sio wanyama na milima peke yake ni pamoja na historia ya nchi...
Ufahamu na uelewa ni tatizo la msingi kwenye nchi yetu! Ndo mana naelewa kwa nini Nyerere alitamka ujinga Kama moja ya maadui wa Tanzania!

Watu wengi hata hawajui Royal Tour ni nini? Na wengi zaidi wanadhani Tanzania tu ndo imefanyika Hiyo Royal Tour hawajui kuwa Peter Greenberg ni mwandishi wa mambo yanayohusiana na utalii ambae sifa yake kuu sio kuelezea tu utalii ila ni kuelezea Dunia mambo mengi ambayo dunia hawayajui kuhusu sehemu fulani au nchi fulani kupitia utalii

Na hiyo ndo main idea behind Royal Tour!
 
Eid Mubarak..

Kwa Maoni yangu hii haijakaa sawa..

Kwa nini kuweka maudhui ya kisiasa kwenye Filamu ya kutangaza utalii?

Je watu wa serikali wameruhusu mambo hayo yatoke?
Kulikoni ewe chawa maarufu wa Bi. Mikopo

Mbona kama unawageuka?

Kwa taarifa yako royal tour(s) ni program ya kisiasa
 
Royal tour kimsingi kama jina lilivyo inahusika na utawala/ufalme/umalikia.
Utalii hapo unakuwa nafasi ya pili.
Kwa Tanzania, Rais ambaye ndiye mhusika anatokana na siasa za vyama, hivyo siyo ajabu CCM kuonekana.
 
Samia anaongelesha kingereza watoto wa kayumba aliposomea, watoto wanatoa macho tu…. sijui alikusudia kitu gani.!
 
Back
Top Bottom