The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Mfano ni yapi?Eid Mubarak..
Kwa Maoni yangu hii haijakaa sawa..
Kwa nini kuweka maudhui ya kisiasa kwenye Filamu ya kutangaza utalii?
Je watu wa serikali wameruhusu mambo hayo yatoke?
Vipande vya kampeni ya CCM vinavyomuonyesha Magufuri na Samia na wana CCM.Mfano ni yapi?
Umewai angalia Royal Tour Rwanda? Kitu gani kipo mule na hakipo kwenye Royal Tour ya Tanzania?Eid Mubarak..
Kwa Maoni yangu hii haijakaa sawa..
Kwa nini kuweka maudhui ya kisiasa kwenye Filamu ya kutangaza utalii?
Je watu wa serikali wameruhusu mambo hayo yatoke?
Kwani CCM ni threat kwa utalii hadi useme haikupaswa kuwepo au chuki zako tu kwa Ccm?Vipande vya kampeni ya CCM vinavyomuonyesha Magufuri na Samia na wana CCM.
Ufahamu na uelewa ni tatizo la msingi kwenye nchi yetu! Ndo mana naelewa kwa nini Nyerere alitamka ujinga Kama moja ya maadui wa Tanzania!Utalii sio wanyama na milima peke yake ni pamoja na historia ya nchi...
OkeyVipande vya kampeni ya CCM vinavyomuonyesha Magufuri na Samia na wana CCM.
Sio kila kitu cha kuiga Rwanda,don't we have our creativity and uniqueness?Umewai angalia Royal Tour Rwanda? Kitu gani kipo mule na hakipo kwenye Royal Tour ya Tanzania?
Maudhui yapi unasema?
Toa upumbavu wako hapaHaaah haaah !!mkuu vp kwema kabisa?...au hawajakulipa posho yako kwa muda sasa ndio maana unawa chenjia?
Kwanza you need to ask yourselfSio kila kitu cha kuiga Rwanda,don't we have our creativity and uniqueness?
Kulikoni ewe chawa maarufu wa Bi. MikopoEid Mubarak..
Kwa Maoni yangu hii haijakaa sawa..
Kwa nini kuweka maudhui ya kisiasa kwenye Filamu ya kutangaza utalii?
Je watu wa serikali wameruhusu mambo hayo yatoke?
Chawa ni dad yako mkuu,siko hapa kusapoti kila kitu.Kulikoni ewe chawa maarufu wa Bi. Mikopo
Mbona kama unawageuka?
Kwa taarifa yako royal tour(s) ni program ya kisiasa
Toa upumbavu wako hapa
Da kumbe role model wa hiyo movie ni PK?Umewai angalia Royal Tour Rwanda? Kitu gani kipo mule na hakipo kwenye Royal Tour ya Tanzania?
Maudhui yapi unasema?