HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Jamani wote mnaofuatilia TPL na Azam Confederation Cup, kuna kitu mtakuwa Mme note, kama mechi 10 mwisho za mashindano hayo ambayo Yanga imecheza kiwango kimeporomoka vibaya, sasa hivi Yanga haishindi mfululizo kama ilivyokuwa awali, na hata mechi inazoshinda ni tia maji tia maji kweli kweli, na karibu kila mechi hata ikishinda lazima ifungwe bao na hakuna dalili ya kubeba confederation cup kwani kuna kila dalili itatolewa na Azam kama itafanikiwa kupita kwa Lipuli. Ndiyo maujuzi ya Zahera yameishia hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app