Maulid Kitenge, Ali Mayai hajateuliwa na Serikali kuongoza tu Mpira wa Miguu na Yanga yako bali ni Michezo yote

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sijui ni lini utabadilika Wewe na ndiyo maana Waandishi wa Habari Wenzako wote wanaula kwa Teuzi na Wewe upo upo Maredioni na kwa Mabibi Vizee huko Marekani, Uingereza, Finland na Dubai.

Ali Mayai hajateuliwa na Serikali kuwa Msimamizi wa Mpira wa Miguu uliouzoea na Yanga SC bali amepelekwa hapo kusimamia Michezo yote.

Badilika unaiabisha sana ru Tasnia.
 
Ha ha..ni kweli ataongoza hadi bao..ila hajakosea kusema anaongoza mpira kwa kuwa na wenyewe upo kwenye orodha.Labda kama una lingine juu ya Kitenge..naona umeenda hadi kwa bibi vizee wake
 
Ha ha..ni kweli ataongoza hadi bao..ila hajakosea kusema anaongoza mpira kwa kuwa na wenyewe upo kwenye orodha.Labda kama una lingine juu ya Kitenge..naona umeenda hadi kwa bibi vizee wake
Sikiliza EFM Sports Headquarters sasa utaelewa kile nikisenacho juu yake. Ukiona namkaanga ( namsema ) Mru hapa Jamiiforums jua nimeshayona Mapungufu yake Tukuka.

Kila mara Wachambuzi katika zamu Leo akina Ibrahim Masoud Maestro, Jemedari Said Kazumari na Watangazaji Abdulrazaq Majid na Tunu Shenkome wanamuambia ni wa Michezo yote lakini lenyewe linakazia tu katika Mpira wa Miguu na TFF.

Huyu Mtu hajawahi kuwa na Akili Ok?
 
Zile safari za ughaibuni zimemtoa ufahamu kwa kiasi kikubwa sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…