Maulid Kitenge anafanya kazi gani ya maana, mpaka magazeti anasoma akiwa Italy au Marekani?

Maulid Kitenge anafanya kazi gani ya maana, mpaka magazeti anasoma akiwa Italy au Marekani?

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Huyu jamaa anatoa Wapi pesa.

Kwenye kipindi cha good morning cha Wasafi FM anasoma magazeti Ila hamalizi mwezi akiwa Tanzania.

Utasikia yupoo USA, German, mara Italy, leo yupo Dubai.

Wakuu huyu jamaa anafanya kazi gani mpaka awe na pesa hivi?
 
Huyu jamaa anatoa Wapi pesa
Kwenye kipindi cha good morning cha wasafi FM anasoma magazeti Ila hamalizi mwezi akiwa Tanzania

Utasikia yupoo USA
German
Mara italy
Leo yupo Dubai
Wakuu huyu jamaa anafanya Kazi Gani mpaka awe na pesa hivi
Ukifuatilia sana maisha ya mtu utachelewa kutengeneza maisha yako. Maisha yana siri nyingi sana Mkuu.

Sometimes Be Content with what You have. Hujui Mau Kitenge kaanza kupiga hela tangu kipindi kile cha Wafanyabiashara Wawili ambao wote kwa sasa ni marehemu. Mengi na Manji.

🤣🤣🤣 Halafu akisema yuko Italy au Germany unakuwa unaamini kweli ?
 
Huyu jamaa anatoa Wapi pesa.

Kwenye kipindi cha good morning cha wasafi FM anasoma magazeti Ila hamalizi mwezi akiwa Tanzania.

Utasikia yupoo USA , German, mara Italy, leo yupo Dubai.

Wakuu huyu jamaa anafanya kazi gani mpaka awe na pesa hivi?
Mange alimuexpose anajiuza kwa mishangazi inayoishi nje...anakurubuni na ndoa. Then anaanza kulahela za mashangazi
 
Kipindi cha spoti leo cha radio one kamuachia nani, kamuachia omary katanga? Mi niko kijijini huku tunasikiliza redio tatu tu
 
Huyu jamaa anatoa Wapi pesa.

Kwenye kipindi cha good morning cha Wasafi FM anasoma magazeti Ila hamalizi mwezi akiwa Tanzania.

Utasikia yupoo USA, German, mara Italy, leo yupo Dubai.

Wakuu huyu jamaa anafanya kazi gani mpaka awe na pesa hivi?
Si lazima kazi ya maana, hata ukiongea vizuri na mishangazi tu unaweza kusafirisafiri kama Kitenge.
 
Back
Top Bottom