Maulid Kitenge avuta jiko tena

Maulid Kitenge avuta jiko tena

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Mtangazaji wa EFM Maulidi Kitenge aoa tena
 
Attachments

  • IMG_20150509_202115.JPG
    IMG_20150509_202115.JPG
    51.1 KB · Views: 7,748
Yailah Toba! Huyu si ana skendo?
Haya bwana power bank umetisha sana.
cc: BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:
Sijamuelewa hata kidogo huyu jamaa, maana mke wake wa kwanza mtu mzima sana
 
=nifah;Jamani mtakaotiririka kuhusu huyu bwana tiririkeni kwa uangalifu maana ile sheria ishatiwa saini.
Shauri zenu, mwenzenu nimekaa kimya tu.

Wametupa miez miwili ya kutupa elimu kwanza.
 
Huyo sasa amezidi alafu huyo mke anaonekana hana furaha ya kuolewa au kwa kua wako wengi haha
 
Jamani Maulid, yule dada mtu mzima kidogo, hlf Eshe, hawakutoshi tu ndg yangu? Aisee nimebakia nimekodoa tu hapa
 
Huyu kaka ana matatizo, huyu ni mke wa nne, ndani ya miaka kumi kama sikosei... Dah... Alikuwa na watu wazima wawili, halafu akaoa kadada fulani keupe sana kanafanya benk fulani sasa sikui imekuaje ameoa tena... Hao wanawake anazaa nao kweli..!
Sheria imesainiwa lakini haijatangazwa rasmi, tiririkeni cha mwisho mwisho...
 
Acha tu.Huyu mwanaume hata kama uislam umetoa fursa hiyo hii sasa ni too much!

Kuzaa anazaa nao vizuri tu na ana watoto wakubwa, binti yake mkubwa anaweza kuolewa sasa.
 
Back
Top Bottom