Maulid Kitenge: Hajanitendea Haki wamechukua Acount zangu

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
HAJANITENDEA HAKI : WAMECHUKUA ACCOUNT ZANGU ZA INSTAGRAM.

Mshambuliaji anasema baada ya kuanza mchakato wa kurudi #EFMnaTVE, account zake za instagram zilidukuliwa.

Asema hajui ni nani amefanya kitendo hicho, anasikia watu wengi wakihisi watu lakini yeye hajui ni nani.

Hawa watakua Wachafu wa Roho hakuna wengine,. Sadala ana roho ya kwanini
 
Hivi kudukuwa wanaona kitu rahisi.
Huyo maulid kama alikuwa anaweka mambo yake azarani mfano nywila yake ina mwaka wa kuzaliwa au jina ambalo anatumia nywila,kama alikuwa kaacha kompyuta ofisini kutokufunga email zake na kama anatumia email ya ofisi lazima data zibaki ofisni.

Ni mengi tu
 
Possibly alisave password na username kwenye computer ya office
 
Mau aache kulialia,kaanzisha vita mwenyewe.Mondi kamuaga kwa amani na kumtakia heri,cha ajabu yeye akaanza vijembe.
 
usikute hana mkataba

au kama anao hajausoma

kama kausoma hajauelewa

wanapata umaarufu kupitia kazi zao , wanatengeneza vi platform vya pembeni kupitia kazi zao, wanapata habari kazini na kuzipeleka kwenye platform zao binafsi...

Siku wakiondoka wanataka waondoke nazo

MICHUZI
MILLARD AYO
KITENGE
MANARA

Wote wameiba haki miliki za kampuni kujenga vi platform vyao

Acha wadukuliwe
 
Kwani hawa bongo celebrities si wengi tu account zao hu hackiwa, Hata kawambwa pindi yupo wasafi yalishamkuta
 
Possibly alisave password na username kwenye computer ya office
Hacker hahitaji chochote kati ya hivyo hapo.
 
TISS anadukuliwa accnt zake na Diamond Platnumz , kijana aliyeishia form two B,
Ooh kumbe alitumwa kazi pale WCB , 😋
We chawa kuna sehemu Kitenge amemtaja huyo unaye muabudu 24/7?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…