Maulid Kitenge na Bluetooth receiver

Nyie ndiyo wale mnaotaka watu wafanye mnavyovitaka wewe kwani hujuwi matumizi ya bluetooth kama yalipita kwako kwake yanaweza yakampunguzia kila dakika kuangalia mwanga wa simu na vilevile ni mapenzi yake kwa mana yangu binafsi-Shika lako Fata Yaliokuleta hapa mjini.
 
Wajua kila mtu upenda kuwa na identity yake especially celebrities.
 
We jamaa ni wa jinsia gani?!

Unaanzaje kumpangia mwanaume ambae sio mumeo cha kufanya?!
 
Nashindwa kumwelewa kabisa huyu kijana... Ana kitangazo fulani hivi cha platinum credit yani humo napo kavaa... Sijui alikua na wasiwasi wa kupigiwa simu wakati wa tangazo...

Hahahahahaha
 
We jamaa ni wa jinsia gani?!

Unaanzaje kumpangia mwanaume ambae sio mumeo cha kufanya?!
Dont take it personal brother... Hasira hazitakiwi kwenye kujadili hii mada
 
Ukweli ni kwamba ana wake wanne sasa kuongea nao wote hao sio mchezo, bila kuweka hiyo kitu sikioni anaweza kushindwa kufanya shughuli nyingine.
 
Jibu zuri kabisa.
 
Hizo ni personal issues sidhani zina effect yeyote katika utendaji wake. Lakini hiyo nayo ni identity yako nawe kuwa mbunifu tafuta identity yako
 
mkuu mimi nadhani ya mauridi tumuachie mauridi mwenyewe...jifunze kuishi kwa kutokunyooshea watu wengine vidole si ajabu mkono wako wote ni mchafu.
 
Atakuwa anapokea simu kazi mara kwa mara sasa ile inamrahisishia kupokea, siunajua tena yale mambo ya kufuatilia mipira..... goo goo gooo goooooooooooo....lah (logical reasoning)
 
Kah!! Malimwengu ni shida.
Mr, mbkna weye upo JF mara nyingi......au ni......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…