Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

Kuliko kujengwa mahotel ambayo mtazania hatoweza kuafford kulala hapo ni bora ndugu zetu wabaki kama ni kweli kuna muwekezaji anataka kuwekeza
No doubt, huu ndio ukweli halisi ambao baadhi wa watz wako blinded na Siasa za wanasiasa wawekezaji kupitia NCA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna 'mbobezi' mmoja kasema hii notion kwamba hifadhi inakufa kwa sababu ya uwepo wa Maasai ni 'scientific nonsense'..!

Nami nakubaliana nae kwa 105%


Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nonsense kwa sababu haelewi argument nzima. Watu hatupingi kuwepo kwa wamasai, tunapinga kuweko kwa idadi ya wamasai na mifugo yao kiasi ya kuathiri balance ya eco system. Wakiweko wamasai 500000 wenye mifugo 500 ni afadhali kuliko kuwa na wamasai 500 wenye mifugo 500000. Warudi kwenye idadi ya awali ya binadamu 20000 na mifugo 275000. Wanaozidi hapo wahame na mifugo yao watafute au watafutiwe maeneo mengine ya kuishi.

Amandla...
 
Waondoke kwao? Kwanini
Uko sahihi miaka nenda rudi wameishi peacefully na wanyama pori bila ugomvi na wakatunza hiyo mbuga for karne kibao leo uwaondoe kwa kosa gani walilofanya?
 
Wamezaana sana wamevuka mipaka waliyowekewa awali wanaivuruga mbuga ya ngorongoro huyo Maulid Kitenge yupo sawa
 
Mkimaliza majani ya ngorongoro pakawa jangwa mtahamia kwingine. Pia mnazaliana,makazi ya watu yamezidi,sio mbuga tens. Ondokeni au muondolewe kwa nguvu. Hakuna watu waharibifu was mazingira kama wafugaji has a Masai,na hats ukipeleka ahule akili zao huwa hazielimiki. Sikutegemea PhD holder mzima wale mapacha kwamba na yeye akili zake bado za kiporipori.
 
Kwanza ondoa notion uliyonayo kichwani kwamba watu wanavamia Ngorongoro. Wavamizi ndani ya Ngorongoro ni the so called "Investors" wenye mahoteli na Campsites. Wamasai wanaozungumziwa wapo hapo zaidi ya miaka 7000/ Tunazungumzia miaka kabla hata Yesu hajaandaliwa kuja duniani! Vizazi na vizazi vimeishi hapo. Ngorongoro yenye square meter karibu 8000 na zaidi, hebu igawe KWA watu Laki moja kisha linganisha maeneo yote yenye wawekezaji akiwemo OBC utuambie nani anapaswa kuondolewa?
Ngorongoro ni Urithi wa Dunia. Unajua factor iliyofanya iwe hivyo? Kukusaidia tu, uwepo wa Wanyapori na Binadamu katika mfumo mmoja wa maisha Ndio iliyofanya pawe hivyo. Ngorongoro ni historical KWA fuvu la Binadamu wa kwanza kuvumbuliwa hapo. That means Binadamu amekuwa akiishi na wanyamapori tangu enzi hizo. So, Kitenge anapigwa vita halali Kabisa KWA sababu kakubali kufanya propaganda za watu wachache wenye Maslahi yao pale. Familia ya Mwinyi inajua uhusika wao katika hilo, na wanatumia fursa waliyonayo KWA sasa kufanikisha mambo yao hapo OBC. Kama hufahamu ni heri kujua historia kwanza.
Mwisho, Serikali ya Tanzania ina legal obligation ya kutowaondoa wamasai katika Ardhi yao ya Urithi, hili lilishatolewa uamuzi hadi na Mahakama ya Afrika Mashariki.
 
wamasai njooni mjini muuze mikuyati na kusuka warembo, zama za kukaa huko mnakunya vichakani, mnagongana vichakani zimepitwa na wakati
 
Wewe shoga hao dinosaur umewahi kuwaona?
Nimewaona chura wa Kihansi ambao naona wako hatarini kutoweka,pia na faru wanaotoweka kwa kasi pia.

Hao wengine ningewaona vipi wakati ni miaka mingi iliyopita?na ushahidi wa masalia yao upo?au shule shida mwezetu?
 
Ndio akili yako ilipoishia,hapa tunazungumzia uwepo wa masai mahali pale wewe unazungumzia ujenzi wa wakazi wengineo.

Waste of time trying to educate a fool
 
Kutokujua ni ujinga sana,nenda usome historia ya eneo hilo utapata jibu kuwa masai walikuwepo eneo hilo kabla ata ya mkoloni na hao simba wako...soma usitie aibu hapa
 
Ndio akili yako ilipoishia,hapa tunazungumzia uwepo wa masai mahali pale wewe unazungumzia ujenzi wa wakazi wengineo.

Waste of time trying to educate a fool
Hao wamasai ndo ambao mnawatetea hapa wazidi kufanya maendeleo ya kujenga makazi na sehemu za kuishi maana wanazidi kuzaliana.. Kwani dar kkoo zamani si lilikuwa pori??? Nini kimetokea bhasi hayo maendeleo makubwa ambayo mwanadamu anaweza fanya sababu ya kukua kwa idadi ndo tunakataa athari zake
 
Kutokujua ni ujinga sana,nenda usome historia ya eneo hilo utapata jibu kuwa masai walikuwepo eneo hilo kabla ata ya mkoloni na hao simba wako...soma usitie aibu hapa
Kwamba Wamasai walikuwepo kabla ya wanyama pale Ngorongoro[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28] wanyama walipelekwa pale kama Chato vile ausio[emoji13]
 
Kwamba Wamasai walikuwepo kabla ya wanyama pale Ngorongoro[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28] wanyama walipelekwa pale kama Chato vile ausio[emoji13]
Kwani hujui ata kuwa wanyama wanahama pia!!? Au unafikiri nayokueleza ni porojo?

Nimekuambia soma maana unaonekana mjinga sana
 
Kwani hujui ata kuwa wanyama wanahama pia!!? Au unafikiri nayokueleza ni porojo?

Nimekuambia soma maana unaonekana mjinga sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Itabdi nisome aisee tunaweza tengeneza ngorongoro nyingne pale kimara
 
Kwa hiyo hautaki mwanadamu aendelee bali mnyama ndio aendelee....mental retarded kabisa ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…