#COVID19 Maulid Kitenge: Unavuta sigara na kunywa pombe kali...unaogopa chanjo?

#COVID19 Maulid Kitenge: Unavuta sigara na kunywa pombe kali...unaogopa chanjo?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mtangazaji Maulid Kitenge ametoa hoja katika swali kuwapa changamoto wanaokataa chanjo

Amesema kama unatumia pombe kali na unavuta sigara ambazo zinakuweka katika hatari ya magonjwa na kufariki, unaogopaje chanjo ya #COVID19

Je, unaionaje kauli ya Kitenge, kiungo mshambuliaji?

1627552085910.png
 
Hata ukichanjwa bado utaambukizwa.
Hata ukichanjwa bado utaambukiza.
Hata ukichanjwa endelea tu kufuata taratibu zile zile kama za siye tusiochanjwa.
Hata ukichanjwa UVIKO-19 inaweza kukuondoa tu duniani.
Kwanini nichanjwe sasa?

In short haina vigezo vya kuitwa chanjo........
 
Back
Top Bottom