Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mabeberu [emoji1787]Huyu bwana mdogo miaka ya nyuma alikuwa na akili sijui ni nini kinamla
Kwamba kukubali chanjo ni kuwa akili imeisha?Huyu bwana mdogo miaka ya nyuma alikuwa na akili sijui ni nini kinamla
Ndoa za mitaala zinakula sana mbongo.......mwishowe mtu anaanza kuwa miyeyushoHuyu bwana mdogo miaka ya nyuma alikuwa na akili sijui ni nini kinamla
Ameingiwa na kidudu mtuHuyu bwana mdogo miaka ya nyuma alikuwa na akili sijui ni nini kinamla
Wakisema zinaongeza nguvu za kiume utaona vijana sa 11 alfajiri walishapanga mstari na wakisisitiza wahudumu wafanye chapchap kuwachanja