Mkuu
Retired inakuwaje nakuona kama uliye kata tamaa kwamba kwamba basi bora liende tuu?
Jiwe nakuhakikishia hana muda huo tena wa kutengeneza timu maana yuko kwenye mashaka ya hali ya juu kwa nafasi yake.
Hali ni mbaya sana kuliko inavyodhaniwa, sio ndani ya ccm au nje yake. Kuna watu wanaona bora hata nchi iwe mikononi mwa mtu mwingine hata nje ya ccm ingawa wao wako ndani ya ccm. Na hilo hata jiwe analifahamu.
Kweli anaweza kutumia dola kulazimisha ushindi "wake" lakini ataondoka na majeraha makubwa kisiasa and he will not be the same "jiwe" again.
Kwa wanaotegemea kubebwa na huyo jiwe wakae chonjo.