Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Usaliti ni laanaHuyu atapita bila upinzani...waliounga mkono juhud..warudi mashambani wakalime..
Huyu anakashifa ya mihadarati hafai ,labda aende chademaView attachment 1499230
Hii ndio habari mpya inayozunguka mitaa ya kwa Manyanya , kwamba mbunge wa zamani wa kinondoni Idd Azan anataka tena tiketi ya kugombea ubunge kupitia ccm , Jambo linaloleta mashaka kwa mamluki Maulid Mtulia
Usaliti ni laana
Jiwe atampitisha? wala asiseme hivyo. Mamlaka anayo mtu mmoja!View attachment 1499230
Hii ndio habari mpya inayozunguka mitaa ya kwa Manyanya , kwamba mbunge wa zamani wa kinondoni Idd Azan anataka tena tiketi ya kugombea ubunge kupitia ccm , Jambo linaloleta mashaka kwa mamluki Maulid Mtulia
Mtulia alisababisha watu wakavunjwa viungo mbali mbali wakati wakihakikisha anapata ushindi na baada ya kupata ushindi akawasaliti na kukubali kununuliwa kwa tamaa ya fedha.View attachment 1499230
Hii ndio habari mpya inayozunguka mitaa ya kwa Manyanya , kwamba mbunge wa zamani wa kinondoni Idd Azan anataka tena tiketi ya kugombea ubunge kupitia ccm , Jambo linaloleta mashaka kwa mamluki Maulid Mtulia
Huyu anakashifa ya mihadarati hafai ,labda aende chadema
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Sasa tukifuatilia hilo CCM ni nani atabaki? Maana hata Gwajima naye ana skendo ya madawa na ngono zembe. Hata mwenyekiti aliuza nyumba za serikali kwa mademu zake na kuvunja mikataba ya ujenzi iliyoitia nchi hasara. Mbaya zaidi alinunua kivuko kibovu mno. Ila yote tisa, CCM mwenye unafuu ni Samia na Majaliwa tu.Huyu anakashifa ya mihadarati hafai ,labda aende chadema
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Kama akishindwa ubunge huenda akapewa U-DC au U-DAS.View attachment 1499230
Hii ndio habari mpya inayozunguka mitaa ya kwa Manyanya , kwamba mbunge wa zamani wa kinondoni Idd Azan anataka tena tiketi ya kugombea ubunge kupitia ccm , Jambo linaloleta mashaka kwa mamluki Maulid Mtulia
Badala mtangaze watia nia wa CHADEMA mko busy kutangaza watia nia wa ccm.View attachment 1499230
Hii ndio habari mpya inayozunguka mitaa ya kwa Manyanya , kwamba mbunge wa zamani wa kinondoni Idd Azan anataka tena tiketi ya kugombea ubunge kupitia ccm , Jambo linaloleta mashaka kwa mamluki Maulid Mtulia
Mwenye Chama alisha sema, ng'ombe alie katwa mkia hutambulika mapema akiwa kwenye kundi. Sio Mtulia tuu atakae katwa. Wako wengi.View attachment 1499230
Hii ndio habari mpya inayozunguka mitaa ya kwa Manyanya , kwamba mbunge wa zamani wa kinondoni Idd Azan anataka tena tiketi ya kugombea ubunge kupitia ccm , Jambo linaloleta mashaka kwa mamluki Maulid Mtulia
Jiwe atampitisha? wala asiseme hivyo. Mamlaka anayo mtu mmoja!
Tunachochea kuniBadala mtangaze watia nia wa CHADEMA mko busy kutangaza watia nia wa ccm.
Huu ni ukweli mtupu !Mkuu Retired inakuwaje nakuona kama uliye kata tamaa kwamba kwamba basi bora liende tuu?
Jiwe nakuhakikishia hana muda huo tena wa kutengeneza timu maana yuko kwenye mashaka ya hali ya juu kwa nafasi yake.
Hali ni mbaya sana kuliko inavyodhaniwa, sio ndani ya ccm au nje yake. Kuna watu wanaona bora hata nchi iwe mikononi mwa mtu mwingine hata nje ya ccm ingawa wao wako ndani ya ccm. Na hilo hata jiwe analifahamu.
Kweli anaweza kutumia dola kulazimisha ushindi "wake" lakini ataondoka na majeraha makubwa kisiasa and he will not be the same "jiwe" again.
Kwa wanaotegemea kubebwa na huyo jiwe wakae chonjo.
We dada una matatizo! Wote waliohama Chadema na kuunga juhudi unawachukia na kuwaombea mabaya.View attachment 1499230
Hii ndio habari mpya inayozunguka mitaa ya kwa Manyanya , kwamba mbunge wa zamani wa kinondoni Idd Azan anataka tena tiketi ya kugombea ubunge kupitia ccm , Jambo linaloleta mashaka kwa mamluki Maulid Mtulia
Hili linchi limejaa mazombie hasa huko ccm jiwe wala hana wasiwasi wowote zaidi ya wanaccm ambao wanawasiwasi wa hatma zao.Mkuu Retired inakuwaje nakuona kama uliye kata tamaa kwamba kwamba basi bora liende tuu?