Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
hii imekaaje wadau maulidi kitenge amekuja na cut kama la ronaldo 'kibwenzi' kwenye luninga. Mwaka huu mbona kuna mambo!
njia ya kutoka utotoni kwenda upumbavuni huanza kwa matendo kama hayo kwa mtu mzima
Tatizo hako kajamaaa kanajifanya kajanja sana wakati hakana kitu chochote.
Tatizo hako kajamaaa kanajifanya kajanja sana wakati hakana kitu chochote.
unaidhalilisha PhD yako au una upofu?hajanyoa huyo ni kakipara fulani jamani
unaidhalilisha PhD yako au una upofu?
ahahahahaaaaaaaaah!!!!!!Tatizo hako kajamaaa kanajifanya kajanja sana wakati hakana kitu chochote.
Literal translation (Kiingereza kwenda Kiswahili)
Akili nyepesi huzungumzia watu
Akili za kawaida huzungumzia matokeo
Akili kubwa huzungumzia fikra za ubunifu.......
Safi sana bitimkongwe. Wakikosa cha kufanya wanakaa na kuanza kudiscuss watu wengine na mambo yao.
Kila mtu ana staili ya yake ya kunyoa na hata mavazi ili mradi mtu havunji maadiri.
Kama kunyoa hivo ni uhuni, je, tuwaiteje wale wanaume wanaosuka rasta????, na wengine kuvaa hereni????