LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,241
- 940
Tena kavaa mapete yaleyale ya kama kina nani hiino!!??:A S embarassed:
wivu wa kikeKwani na yeye si nanihino pia.....eti ana wake wanne umri huo na magonjwa haya yoote
hajakua bado.
Kashauriwa na yule mke wake mdogo!
Nae Mhuni!Na huyu je?
ila anaonekana anajiamini maana yake kamuweka mtu kati mkwere
Kaka/Dada nini maana ya maneno haya ?mtu anaoa wanawake sita katika maisha haya unafikili ni UJANA??????????// mduanzi kama waduamzi wengine
ila anaonekana anajiamini maana yake kamuweka mtu kati mkwere
jamani si ndio ujana huo