S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Jun 15, 2024 #161 Nadhania tungeviachia vyombo vya Sheria vifanye kazi zake! Haki ya mtu inapatikana mahakani. Polisi wafanye upelelezi vya kutosha kujiridhisha kama mtuhumiwa amefanya kosa au la.
Nadhania tungeviachia vyombo vya Sheria vifanye kazi zake! Haki ya mtu inapatikana mahakani. Polisi wafanye upelelezi vya kutosha kujiridhisha kama mtuhumiwa amefanya kosa au la.