Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Bwana Maulidi Kitenge ameendelea kuonekana waziwazi kuwa miongoni mwa wapigadili wachache walioichukia sana serikali ya awamu ya tano. Pamoja na kufanya hivyo kwaajili ya udini, lakini amezidi kujisahau na kujikuta anatumika kupita kiasi.
Sakata la Loliondo, Ngorongoro, Kushangilia pale viongozi wanapo pumzishwa, kupiga dili haramu huku ukijifanya mshika dini sana ni miongoni mwa mambo ambayo hivi karibuni yatafanya ujute sana.
Bwana kitenge inasemekana ni kazi maalumu lakini nakuhakikishia haya yatakutokea puani na utajikuta pekeyako. Mungu akusaidie akuoneshe hatari iliyo mbele yako ili uendelee kutupa habari za michezo na si vinginevyo.
Uzi huu utakuwa shahidi.