Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Katiba hii hii.Kwa katiba ipi mkuu
Awamu ya tano wajinga walionekana werevu !!!!! J. UlimwenguBwana Maulidi Kitenge ameendelea kuonekana waziwazi kuwa miongoni mwa wapigadili wachache walioichukia sana serikali ya awamu ya tano. Pamoja na kufanya hivyo kwaajili ya udini, lakini amezidi kujisahau na kujikuta anatumika kupita kiasi.
Sakata la Loliondo, Ngorongoro, Kushangilia pale viongozi wanapo pumzishwa, kupiga dili haramu huku ukijifanya mshika dini sana ni miongoni mwa mambo ambayo hivi karibuni yatafanya ujute sana.
Bwana kitenge inasemekana ni kazi maalumu lakini nakuhakikishia haya yatakutokea puani na utajikuta pekeyako. Mungu akusaidie akuoneshe hatari iliyo mbele yako ili uendelee kutupa habari za michezo na si vinginevyo.
Uzi huu utakuwa shahidi.
Alinifadhaisha sana kwenye swala la Ngorongoro. Na mtu mwenyewe hajui chochote juu ya lile swala na hawezi hata kutofautisha kati ya hilo swala na lile la Loliondo. Aliniudhi.Bwana Maulidi Kitenge ameendelea kuonekana waziwazi kuwa miongoni mwa wapigadili wachache walioichukia sana serikali ya awamu ya tano. Pamoja na kufanya hivyo kwaajili ya udini, lakini amezidi kujisahau na kujikuta anatumika kupita kiasi.
Sakata la Loliondo, Ngorongoro, Kushangilia pale viongozi wanapo pumzishwa, kupiga dili haramu huku ukijifanya mshika dini sana ni miongoni mwa mambo ambayo hivi karibuni yatafanya ujute sana.
Bwana kitenge inasemekana ni kazi maalumu lakini nakuhakikishia haya yatakutokea puani na utajikuta pekeyako. Mungu akusaidie akuoneshe hatari iliyo mbele yako ili uendelee kutupa habari za michezo na si vinginevyo.
Uzi huu utakuwa shahidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]^Hili nalo kalitizameni^
Ndio wachambuzi wetu tulio nao,Alinifadhaisha sana kwenye swala la Ngorongoro. Na mtu mwenyewe hajui chochote juu ya lile swala na hawezi hata kutofautisha kati ya hilo swala na lile la Loliondo. Aliniudhi.
Bwana kitenge inasemekana ni kazi maalumu lakini nakuhakikishia haya yatakutokea puani na utajikuta pekeyako. Mungu akusaidie akuoneshe hatari iliyo mbele yako ili uendelee kutupa habari za michezo na si vinginevyo.Bwana Maulidi Kitenge ameendelea kuonekana waziwazi kuwa miongoni mwa wapigadili wachache walioichukia sana serikali ya awamu ya tano. Pamoja na kufanya hivyo kwaajili ya udini, lakini amezidi kujisahau na kujikuta anatumika kupita kiasi.
Sakata la Loliondo, Ngorongoro, Kushangilia pale viongozi wanapo pumzishwa, kupiga dili haramu huku ukijifanya mshika dini sana ni miongoni mwa mambo ambayo hivi karibuni yatafanya ujute sana.
Bwana kitenge inasemekana ni kazi maalumu lakini nakuhakikishia haya yatakutokea puani na utajikuta pekeyako. Mungu akusaidie akuoneshe hatari iliyo mbele yako ili uendelee kutupa habari za michezo na si vinginevyo.
Uzi huu utakuwa shahidi.
Kwamba mtamteka, au?!Bwana kitenge inasemekana ni kazi maalumu lakini nakuhakikishia haya yatakutokea puani na utajikuta pekeyako. Mungu akusaidie akuoneshe hatari iliyo mbele yako...
Mbona na wewe unaonyesha dhahiri kuwa ni kipenzi cha awamu ya tano mpaka unatoa vitisho?Bwana kitenge inasemekana ni kazi maalumu lakini nakuhakikishia haya yatakutokea puani na utajikuta pekeyako.
Duh! you sound like Kinana for sureMjinga ww. Vibaraka na vimbwengo vya jiwe hamtokaa mrudi ikulu hata kizazi cha 20. Na hivyo vitisho vyenu vilishazikwa since march 17, na hakuna kitu mtafanya kwa sasa.
Na hatar iko kwenu ninyi maana mnaishi kama digidigi huku tukiwachora tu. Na kama mtaendelea na vitisho vyenu hata hivyo vichaka mlivyojificha tutavifyeka tuone mtajificha wapi.
Makonda kumbe Bado upo na haujutii kama unavyojiita? Hii nchi sio ya Magufuli, kwanini uteseke?Bwana Maulidi Kitenge ameendelea kuonekana waziwazi kuwa miongoni mwa wapigadili wachache walioichukia sana serikali ya awamu ya tano. Pamoja na kufanya hivyo kwaajili ya udini, lakini amezidi kujisahau na kujikuta anatumika kupita kiasi.
Sakata la Loliondo, Ngorongoro, Kushangilia pale viongozi wanapo pumzishwa, kupiga dili haramu huku ukijifanya mshika dini sana ni miongoni mwa mambo ambayo hivi karibuni yatafanya ujute sana.
Bwana kitenge inasemekana ni kazi maalumu lakini nakuhakikishia haya yatakutokea puani na utajikuta pekeyako. Mungu akusaidie akuoneshe hatari iliyo mbele yako ili uendelee kutupa habari za michezo na si vinginevyo.
Uzi huu utakuwa shahidi.
Swala ni mnyama, Suala ni jambo flani! Sasa hapa unamaanisha nini??Alinifadhaisha sana kwenye swala la Ngorongoro. Na mtu mwenyewe hajui chochote juu ya lile swala na hawezi hata kutofautisha kati ya hilo swala na lile la Loliondo. Aliniudhi.
Maneno sio lazima yaandikwe kwa usahihi. Muktadha unatosha kukuelewesha. Hatupo darasa la IIIB hapa.Swala ni mnyama, Suala ni jambo flani! Sasa hapa unamaanisha nini??
Jifanye unajikuna.Mjinga ww. Vibaraka na vimbwengo vya jiwe hamtokaa mrudi ikulu hata kizazi cha 20. Na hivyo vitisho vyenu vilishazikwa since march 17, na hakuna kitu mtafanya kwa sasa.
Na hatar iko kwenu ninyi maana mnaishi kama digidigi huku tukiwachora tu. Na kama mtaendelea na vitisho vyenu hata hivyo vichaka mlivyojificha tutavifyeka tuone mtajificha wapi.