This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Unajua nataka kusema nini
Ukiwasikiliza kwa makini wachambuzi wa habari za matukio ya michezo katika tv na redio, utagundua kwamba wote ni mashabiki aidha Simba au Yanga. Lazima ana upande.
Tofauti inakuja kwamba ktk uchambuzi wao , Kuna wale ambao wawapo kazini wanachambua bila kujali ushabiki mfano salehe Jembe , Oscar Oscar, Ambangile na wengineo. Maandishi yao ya ushabiki ni nje ya kazi ktk page zao za mitandaoni.
Sasa Kuna huyu jamaa anaitwa Maulidi mwana wa KITENGE. Niseme sina chuki nae, sifahamiani nae lkn anapokuwa katika meza ya uchambuzi utafikiri ni mgeni mwalikwa kutoka katika klabu ya Yanga. Ana ushabiki wa waziwazi, hafahamu ile ni kazi anadhani yuko pale kuisemea Yanga. Anaboa sana.
Nataka nimwambie anapoteza umahiri ktk taaluma yake. Ajikite ktk kudeliver ukweli bila kujali mahaba aliyo nayo kwa Yanga.
Itoshe kusema yule ni Mchambuzi, mtetezi wa klabu ya Yanga.
Ajikite kwenye uchambuzi wa mpira ktk uhalisia wake badala ya ushabiki au mahaba na timu fulani. Mahaba yake akayaweke ktk page zake binafsi.