james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 693
- 690
wanajamvi nilikuwa naomba kujuzwaa jambo hilii mtoto wa miez mitano kuwa na umbile la kichwa kikubwa kisichoendana sawia na mwilii ila sio kikubwa sana na kwambalii utosini kunakuw kama kumebonyea na kunafany kama kunatakagawanya pande mbili je hilii tatizo ni maumbilee tu kibinadamu au niupunguf wa madinii fulanii na nini kifanyikee kutatua tatizo hiloo natanguliz shukrani zangu.