Maumbile ya mtoto mdogo kuwa na kichwa kikubwaa

james bendui

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2015
Posts
693
Reaction score
690
wanajamvi nilikuwa naomba kujuzwaa jambo hilii mtoto wa miez mitano kuwa na umbile la kichwa kikubwa kisichoendana sawia na mwilii ila sio kikubwa sana na kwambalii utosini kunakuw kama kumebonyea na kunafany kama kunatakagawanya pande mbili je hilii tatizo ni maumbilee tu kibinadamu au niupunguf wa madinii fulanii na nini kifanyikee kutatua tatizo hiloo natanguliz shukrani zangu.
 
Kuwa na kichwa kikubwa kilichopitiliza kwa mtoto ni tatizo lijulikanalo kwa kidaktari(hydrocephalus) yaani kichwa kujaa maji kutokana na fuvu za kichwa cha mtoto kushindwa kusogeleana ktk hatua ya kuzaliwa mpk ukuaji.Lakini tatizo hili hugunduliwa mapema mara mtoto anapozaliwa.Ikiwa una wasiwasi muangalie mtoto km ni mzubaifu au ana dalili za utahira km sivyo basi kuna watu wanakua na vchwa vikubwa kiasili.
 
bc kwa dalili za utahira no ila baba yake anakichwa kikubwaa kitaalamu inawezekan ni maumbilee yakawa ni yakurith au hamnuwezekano huo
 
Vichwa vingine vya kurithi mkuu, hebu fuatilia ndugu wa karibu kama kuna mwenye kichwa cha namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…