maumivu baada ya tendo

maumivu baada ya tendo

Frankness

Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
66
Reaction score
13
wadau hebu nipeni jibu la hili swali....huwa nasikia wadada wengi katika stori zao wakisema pindi wanapomaliza kushiriki tendo la ndoa huwa wanaumia sehemu ya chini ya tumbo....hii husababishwa na nini??????ni ugonjwa ama hali tu ya kwaidaa?
 
Hali hiyo inajitokeza pale anapokuta na mtu mwenye mguu wa mtoto, wakati yeye amezoea kibamia.
 
Hali hiyo hutokana na kuto fikishwa kileleni. Mwanamke huwa anakuwa bado anahitaji kusuguliwa wakati jamaa kashamaliza mda mrefu. Kaka jitahidi kupiga kazi vizuri aisee
 
Back
Top Bottom