Habari wana Jf Poleni na Majukumu ya kila siku. Mchumba wangu ana ujauzito wamiezi Sita Lakini ana lalamika maumivu makali chini ya Kitovu kila siku Jamani tatizo gani hili?
Inawezekana anakaa na mkojo mda mrefu maana katoto kakiwa kanarusha miguu kanagonga kwenye kibofu. Au pengine mtoto anakuwa amekaa vibaya, cha msingi ajaribu kumuona doctor physically