Maumivu chini ya tumbo na ubavuni baada ya sex

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Ni mategemeo yangu muwazima wa afya!..naombeni mnisaidie maana kama limeshakuwa tatizo,hli tatizo la kupata maumivu makali hasa chini ya tumbo na ubavuni upande wa kushoto mara tu baada ya sex,tatizo nini?!.
 
Mom Fay hujambo? Pole kwa tatizo lako mama
 
Last edited by a moderator:
Ni mategemeo yangu
mu~wazima wa afya!!..naombeni mnisaidie maana kama limeshakuwa
tatizo,hli tatizo la kupata maumivu makali hasa chini ya tumbo na
ubavuni upande wa kushoto mara tu baada ya sex,tatizo nini?!.

inaonekana jamaa amekuzidi yaani mshedede wake ni mrefu sana, mwambie aingize kidogo tu na ikiwezekana hata kichwa tu chatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…